Acts 19:4

4 aPaulo akasema, “Ubatizo wa Yahya ulikuwa wa toba, aliwaambia watu wamwamini yeye atakayekuja baada yake, yaani, Isa.”
Copyright information for SwhKC